Ruka hadi maudhui

Matunda Bukavu

Ndizi mbivu, ndizi za kupika, parachichi, maembe, nanasi, papai, pasheni, machungwa, tikiti maji, nyanya mti na matufaha, kwa kipande, kichane au kilo. Uletewe hapa Bukavu au uchukue, ulipe taslimu au kwa pesa ya simu.

Bidhaa 9

InstaSoko