
Ndakala (dagaa wakavu) 500 g
$ 4,00 / pakiti
Ipo · Kuletewa au kuchukua
Kuhusu bidhaa hii
Dagaa wa ziwa Tanganyika waliokaushwa juani, hupikwa na nyanya na vitunguu.
Inauzwa na
Maman Neema, marché de Birere
Marché de Birere, allée du poisson et des légumes, Goma






